Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli, ametoa wito wa kuwepo kwa mahusiano mazuri ya kazi katika Kampuni ya Nairobi Water, huku kukiwa na juhudi za kuimarisha umoja ndani ya taasisi hiyo. Akizungumza na bodi ya kampuni hiyo, viongozi wa ngazi ya juu na wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi, Atwoli alipongeza uongozi wa Martin Nang’ole, kwa kukuza majadiliano na kushirikiana na vyama vya wafanyakazi katika kulinda haki na maslahi ya wafanyakazi.
FRANCIS ATWOLI – NAIROBI WATER