Juhudi za Carlos Agusto dakika ya 77 zilitosha kuwaona miamba wa Italia Inter Milan ikiilaza Shakhtar Donetsk 1-0 ikiwa ushindi wao wa kwanza katika mechi tatu za Ulaya msimu huu, huku timu ya LASK ya Austria ikiwashangaza wenyeji Sporting Lisbon 3-2. Mechi nyingine za siku ya tatu zilishuhudia Club Brugge ikiifunga Lens 3-0, Real Betis ikiishinda Feyenoord 1-0 na kuwa ushindi wao wa tatu mfululizo na miamba wa Uturuki Galatasaray ikiishinda Lille ya Ufaransa 4-2.

Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.