Uhuru wa mahakama, unaolindwa na Katiba, upo kwa ajili ya wananchi, si kwa ajili ya majaji. Akizungumza katika Mkutano wa Trust Summit, Jaji Mkuu Martha Koome alibaini kuwa uhuru huo unahakikisha maamuzi yasiyo na upendeleo, yakiegemea kikamilifu kwenye ushahidi na sheria. Jaji Mkuu Koome alisisitiza kuwa watumishi wa umma lazima wazingatie kiapo chao cha kikatiba ili kujenga imani ya umma, badala ya kudhoofisha taasisi za kidemokrasia.
MARTHA KOOME – INDEPENDENCE