Mke wa Rais, Rachel Ruto, anasema serikali imedhamiria kurejesha heshima na kuhakikisha familia zilizoathiriwa na maporomoko ya ardhi huko Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, zinapata maisha yenye usalama. Akizungumza wakati wa kukabidhi nyumba 53 zilizojengwa na NYS, Rachel alisema amani, utulivu, na msaada wa pamoja ni muhimu sana katika kujenga upya jamii zilizoathiriwa. Maafa hayo yalitokea mwezi Novemba mwaka uliopita.

RACHEL RUTO – HOUSES