Uongozi wa Ligi ya NSL umesisitiza kuwa hautaanzisha ligi hiyo mwishoni mwa wiki hii hadi pale utakapofanya mkutano wa ana kwa ana na Rais wa FKF, Hussein Mohammed. Hii inakuja licha ya Hussein kuwa nchini Morocco kwa ajili ya Kombe la Dunia la FIFA la vijana chini ya umri wa miaka 17 linaloendelea huko. Viongozi wa NSL wanataka ufafanuzi kuhusu zawadi za fedha, kanuni mpya za kupanda na kushuka daraja, miongoni mwa mambo mengine.

Jua linashuhudiwa Naivasha, Gilgil na Nakuru.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.