Mwenyekiti wa Kakamega Homeboyz, Cleophas Shimanyula, amemtetea aliyekuwa kipa wa Harambee Stars, Patrick Matasi—ambaye kwa sasa amesimamishwa—huku akielezea matumaini kuwa ataweza kushinda changamoto zake za kisheria na kurejea klabuni hapo. Shimanyula anasema wanajitahidi kuhakikisha anarejea uwanjani kwa sababu bado ana mchango mkubwa anaoweza kutoa. Kulingana na Shimanyula, Matasi alishtakiwa bila kuwepo kwa ushahidi, na iwapo atashinda kesi dhidi ya FKF, atarejea Kakamega Homeboyz kuendelea na soka.
Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.