Mamlaka ya Rasilimali za Maji imeeleza wasiwasi wake kuhusu uvamizi wa maeneo ya vyanzo vya maji, ikiwasihi Wakenya kulinda mazingira ili kuzuia mmomonyoko wa udongo na maporomoko ya ardhi. Chini ya uongozi wa mwenyekiti, Donald Murgor, mamlaka hiyo ilionya kuwa uharibifu wa maeneo ya vyanzo vya maji unatishia uhifadhi wa mazingira na usalama wa jamii. Pia, imewahimiza Wakenya kushiriki katika mpango wa kitaifa wa upandaji miti.
VOX POP-WATER