Polisi katika Kaunti ya Machakos wamewakamata watu watano na kunasa lita tano za pombe haramu, katika operesheni iliyoimarishwa dhidi ya biashara haramu ya pombe. Naibu wa chifu wa eneo la Kasinga, Fredrick Kitonga, alisema operesheni hiyo itaendelezwa, huku akiwaonya wale wanaojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa pombe haramu kwamba watakabiliwa kisheria.

FREDLICK KITONGA-LIQUOR