Kiongozi wa Chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amelaani kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa Royal Media Services, Francis Ode, wakati akiripoti kuhusu maandamano dhidi ya ongezeko la bei ya mafuta jijini Nairobi. Kalonzo alIita kukamatwa huko kuwa kinyume cha katiba na kiholela, akisema kulikiuka dhamana za kikatiba kuhusu uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kukusanyika kwa amani na maandamano. Alisisitiza kwamba hizi ni haki za msingi, si marupurupu yanayotolewa kwa hiari ya wale walio madarakani.
Advertisement
October 21, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing