Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa katika Kaunti ya Murang’a wanaishauri serikali kupunguza kodi kwenye chakula cha mifugo, huku wakionya kuwa gharama kubwa za uzalishaji zinahatarisha uendelevu wa sekta ya maziwa. Pia wametoa wito wa kufanyiwa marekebisho kwa sheria za vyama vya ushirika, ili kuhakikisha wadau katika mnyororo mzima wa thamani wanatekeleza majukumu yao ipasavyo bila kuingiliana, hatua itakayosaidia kuimarisha ufanisi katika sekta hiyo.
VOX POP-MILK