Viwango vya chini vya elimu na kutojua mambo ya kisiasa, hasa vijijini, huenda vinachochea siasa za kikabila nchini Kenya. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Javas Bigambo anahimiza nchi kuboresha viwango vya elimu na kuvitaka vyama vya siasa kueneza sera na itikadi wakati wa kampeni badala ya matusi na kejeli.

JAVAS BIGAMBO – LITERACY