Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, amewahimiza wakaazi wa eneo la Luo Nyanza kumuunga mkono Naibu Rais Kithure Kindiki kama mgombea mwenza wa Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza huko Migori, Njuki alipongeza uhusiano wa kihistoria wa kisiasa kati ya Nyanza na eneo la Mlima Kenya, akisema kuwa uhusiano huo umeimarisha umoja na ustawi wa taifa.
MUTHOMI NJUKI-KINDIKI