Kiongozi wa Chama cha Jubilee Fred Matiang'i amewasihi Wakenya kukumbatia amani na umoja huku nchi ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa jijini Nairobi, Waziri huyo wa zamani alisema kila Mkenya ana jukumu la kutekeleza katika kukuza mshikamano wa kitaifa. Pia aliwasihi Wakenya kuendelea kuiombea nchi kabla ya uchaguzi wa 2027.


FRED MATIANG’I UNITY