Polisi wamesema kuwa kiongozi wa genge la uhalifu kutoka Homa Bay, aliyekamatwa wiki iliyopita, anatarajiwa kushtakiwa kwa kosa la wizi wa mabavu katika Mahakama ya Kisii. Maafisa walieleza kuwa, Ijumaa, mahakama moja mjini Homa Bay iliamuru ahamishiwe katika Mahakama ya Kisii ili kusomewa mashtaka jii leo, hatua iliyochukuliwa kwa sababu za kiusalama. Kiongozi huyo wa genge hilo na watu wengine wanane walikamatwa katika operesheni iliyofanyika Alhamisi.
Advertisement
October 12, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 21ST OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing