Serikali mwaka huu imetenga shilingi milioni 850 ili kuboresha viwanda 17 vya chai. Akizungumza jana, Rais William Ruto alisema uwekezaji huo utaongeza ufanisi wa usindikaji, kuongeza thamani na kuhakikisha wakulima wanapata faida bora kutokana na mazao yao.
WILLIAM RUTO-FACTORIES