Seneta wa Nakuru Tabitha Karanja ametetea uamuzi wake wa kuhama kutoka UDA na kujiunga na DCP wa Rigathi Gachagua akisema unatokana na kusikiliza moja kwa moja malalamiko ya wapiga kura kuhusu matarajio ambayo hayajatimizwa chini ya utawala wa sasa. Alihoji uelewa wa Rais William Ruto kuhusu changamoto za kiuchumi zinazowakabili Wakenya, akitaja kupanda kwa bei ya maziwa kama mfano wa matatizo ambayo Wakenya wanapitia.


TABITHA KARANJA – DEFECTING