Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli, amewahimiza vijana wa Kenya kukataa jumbe za kisiasa zinazochochea chuki na mgawanyiko, akisisitiza kuwa amani inapaswa kubaki kuwa kipaumbele cha taifa. Atwoli aliwaonya vijana dhidi ya kushawishiwa na wanasiasa ambao aliwatuhumu kuwa na chuki za kisiasa na nia ya kuvuruga amani ya nchi.



FRANCIS ATWOLI - LISTEN