Wanawake wajawazito wanahimizwa kufuatilia mienendo ya watoto wao na kudhibiti shinikizo la damu ili kupunguza hatari ya kifo cha mtoto ndani ya tumbo. Mwanagainakolojia Weston Khisa anasema shinikizo la damu, kisukari na ajali za kitovu ni sababu za kawaida za vifo hivi. Anasema uingiliaji kati wa mapema unaweza kusaidia kuokoa ujauzito, akibaini kuwa karibu mwanamke mmoja kati ya 10 wajawazito hupata hali hii.
WESTON KHISA – MOTHERS