Rais William Ruto anaongoza sherehe ya wahitimu kutoka Mamlaka ya Kitaifa ya Mafunzo ya Viwanda (NITA) katika Ikulu ya Nairobi. Wahitimu hao, ambao wamepatiwa ujuzi wa kiufundi, ni pamoja na wanufaika wa mpango wa NYOTA. Wanasema kuwa mafunzo hayo yamefungua fursa katika masoko ya ndani na ya kimataifa, na yatasaidia kuboresha maisha yao pamoja na hali yao ya kiuchumi.
ONE STUDENT –NITA