Rais William Ruto ameielekeza Tume ya TSC kuongeza idadi ya nafasi za kupandishwa vyeo kwa walimu zilizotangazwa kutoka 34,016 hadi elfu 50, huku serikali ikitenga fedha za ziada kufanikisha zoezi hilo. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani, Rais Ruto alisema serikali pia imeongeza mara mbili bajeti ya kupandisha vyeo walimu, kutoka Shilingi bilioni 1 hadi Shilingi bilioni 2 mwaka huu.

 WILLIAM RUTO – PROMOTION