Real Madrid inafikiria kujiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili Alex Scott baada ya kumfuatilia kwa karibu kiungo huyo wa Bournemouth na timu ya taifa ya Uingereza, mwenye umri wa miaka 23, katika wiki za hivi karibuni. Chelsea ndiyo inayopewa nafasi kubwa zaidi ya kumsajili Scott kutoka Bournemouth, huku Liverpool na Arsenal nazo zikiwa na nia ya kumsajili. Arsenal inataka kumsajili winga wa Uturuki Kenan Yildiz, mwenye umri wa miaka 21, kutoka Juventus lakini inakabiliwa na ushindani kutoka kwa Bayern Munich na Real Madrid.
Jua linashuhudiwa Mariakani, Mazeras na Miritini.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.