Mechi iliyokuwa imesubiriwa kwa hamu ya Ligi Kuu ya Wanawake ya FKF kati ya Mathare United na Kayole Starlets ilimalizika kwa sare ya 1-1 jana katika uwanja wa Police Sacco. Kayole walitangulia kufunga bao katika dakika ya 56 kupitia kwa Eunice Nabwoba, huku Shalin Otieno akisawazishia Mathare katika dakika ya 81. Katika matokeo mengine, Zetech Sparks waliwafunga Bungoma Queens mabao 4-2, huku Elim White Ladies wakitoka sare ya 1-1 dhidi ya Trinity Starlets.




Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.