Mkuu wa PSG, Nasser Al-Khelaifi, anasema hana nia hata kidogo ya kuwania urais wa FIFA, licha ya kuhusishwa na nafasi hiyo yenye nguvu katika uchaguzi wa mwaka ujao. Kauli hii inakuja wakati soka ya Ulaya inatafuta mgombea wa kumpinga Gianni Infantino katika uchaguzi wa urais wa FIFA. Al-Khelaifi ni mwenyekiti wa kundi lenye ushawishi kubwa la Vilabu vya Soka vya Ulaya na ni mjumbe wa kamati tendaji ya UEFA, ambayo inaongoza juhudi za kumwondoa Infantino madarakani kufuatia kufeli kwa mipango yake ya kuuza hisa za Kombe la Dunia kwa wawekezaji binafsi.
Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.