Kamishna wa Kaunti ya Kirinyaga, Shufaa Mwijuma, ameapa kufunga baa katika maeneo ya Kagio na Kutus zinazodaiwa kuandaa maonyesho ya wachezaji wa kike walio uchi, akisisitiza kuwa vitendo hivyo havitaruhusiwa katika kaunti hiyo. Mwijuma alisema kuwa mojawapo ya baa hizo mjini Kagio huandaa maonyesho ya wachezaji hao kila usiku, huku nyingine mjini Kutus ikidaiwa kuwaleta kila siku ya Ijumaa.
SHUFAA MWIJUMA – STRIPPERS