Afrika inahitaji taratibu za udhibiti zilizooanishwa ambazo zinaweza kutabirika, zilizo wazi na zinazoweza kufikiwa na wadhibiti pamoja na watengenezaji, amesema Katibu wa Huduma za Afya, Ouma Oluga. Akizungumza katika mkutano wa PharmaRegAfriSummit 2026 jijini Nairobi, alihimiza kuchukuliwa kwa hatua madhubuti za kuimarisha uzalishaji wa dawa ndani ya nchi, kujenga mifumo ya afya inayojitegemea, na kuhakikisha mageuzi ya sekta ya afya yanatafsiriwa kuwa matokeo bora kwa wagonjwa.
OUMA OLUGA - PREDICTABILITY