Serikali imetoa onyo kali kwa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umma katika Kanda ya Mashariki kutokana na kuchelewa kukamilisha kazi zao. Kamishna wa Kanda ya Mashariki, Jacob Muganda, alisema uzembe na ucheleweshaji usio wa lazima hautavumiliwa, huku akiwataka wakandarasi kukamilisha miradi hiyo ndani ya muda uliopangwa.
JACOB MUGANDA-DELAYS