Wahudumu wa matatu wanapata faida ndogo zaidi kwa wiki baada ya serikali kupandisha bei ya mafuta, licha ya kupandisha nauli kwa asilimia 10 kote nchini. Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Matatu, Albert Karakacha, anasema nauli za juu zimewavunja moyo Wakenya wengi kusafiri, jambo linaloathiri shughuli za kiuchumi.
ALBERT KARAKACHA- PROFITS