Je, wewe hujipata ukikamilisha sentensi za mtu mwenye kigugumizi anapozungumza, ukidhani unamsaidia kuwasiliana? Mtaalamu wa tiba ya usemi na lugha, Catherine Nzao, anaonya kuwa jambo hili linaweza kumfanya mtu huyo ahisi kukata tamaa na kutosikilizwa, hali inayoweza kumvunja moyo kuzungumza. Anawasihi wasikilizaji kuwa na subira, kuwapa watu walio na kigugumizi muda wa kutosha kujieleza, na kuwaruhusu kuzungumza kwa kasi yao wenyewe.

CATHERINE NZAO – FINISHING