Katibu wa usalama, Raymond Omollo, amewahimiza vijana kukataa vurugu za kisiasa, huku akionya kuwa serikali haitavumilia vitendo vya vurugu wakati wa shughuli za kisiasa. Akizungumza jana, Omollo alisema wanasiasa hawapaswi kuwatumia vijana vibaya ili kusababisha fujo au vurugu. Aliwataka wale wasiomuunga mkono mwanasiasa fulani kujiepusha na mikutano yake badala ya kujihusisha na vurugu.
RAYMOND OMOLLO-VIOLENCE