Kiongozi wa DCP, Rigathi Gachagua, anadai kuwa yeye, pamoja na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, watapata kura milioni 2.5 kati ya kura milioni 2.7 jijini Nairobi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza wakati wa ibada kanisani huko Oregon, Gachagua alisema viongozi hao watatu wameimiliki kisiasa Nairobi, huku akitabiri kuwa vyama vya UDA na ODM havitashinda hata kiti kimoja katika jiji hilo kuu.


RIGATHI GACHAGUA – NAIROBI