Shinikizo la kifedha na la kifamilia ni miongoni mwa changamoto zinazowakabili watu leo, na baadhi wanaweza kuhisi hawana umuhimu au hawatoshi kukabiliana na maisha. Mwanasaikolojia Julia Waithera anasema jamii inahitaji kuboresha uwezo wake wa kusikiliza bila kuhukumu. Waithera anawahimiza watu kuwa karibu na wale wanaopitia changamoto, kuwapa bega la kutegemea na kuwasaidia kupata msaada wanaohitaji.


JULIA WAITHERA – LISTENING