Rais William Ruto sasa anasema ana haki ya kuhoji ajenda ya upinzani bila kukosolewa. Akizungumza mjini Kericho, rais alisema kuwa, kama Mkenya, yeye pia ana haki ya kuwa na maisha bora ya baadaye na hivyo ana haki ya kuchunguza ajenda ya upinzani. Ruto aliutaka upinzani kuacha kupoteza muda wa Wakenya iwapo hauna mpango madhubuti wa kuendeleza nchi.


WILLIAM RUTO-AGENDA