Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Clara Luvanga, amejiunga na klabu ya Washington Spirit akitokea Al-Nassr kwa mkataba wa miaka minne. Ada ya uhamisho huo inakadiriwa kuwa karibu na Shilingi za Kenya milioni 260, jambo linaloufanya kuwa uhamisho ulioweka rekodi ya dunia katika soka la wanawake. Luvanga anajiunga na Spirit baada ya kucheza misimu mitatu akiwa na Al-Nassr; hivi karibuni, alitwaa tuzo ya 'Golden Boot' (kiatu cha dhahabu) baada ya kufunga mabao 24 katika msimu wa 2025/26.




Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Makindu, Voi na Mariakani.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.