Seneta wa Migori Eddy Oketch ameunga mkono Mswada unaolenga kuimarisha jukumu la manaibu gavana, akisema magavana wengi wamewatenga manaibu wao kwa kuwanyima majukumu na rasilimali. Seneta Oketch alisema kuwawezesha manaibu gavana kutadumisha heshima ya ofisi za kikatiba, kuboresha utawala wa kaunti na kuhakikisha jamii zilizowachagua zinawakilishwa kwa usawa katika uongozi wa kaunti.
EDDY OKETCH – BILL