Wito wa kupunguza idadi ya kaunti kutoka 47 hadi nane umeibua mjadala, huku wakili wa masuala ya katiba Alex Kimani akisema changamoto za Kenya haziwezi kutatuliwa kwa kubadili mfumo wa ugatuzi.
Anasema ufisadi na uongozi mbovu ndizo zimezorotesha utoaji wa huduma, akisisitiza kuwa Katiba ina mfumo mzuri wa uongozi lakini umetekelezwa vibaya na viongozi wasiowajibika.
ALEX KIMANI – COUNTIES
Read Also