Kupanda kwa gharama ya maisha kunafanya iwe vigumu zaidi kwa watoto katika jamii zilizotengwa kupata elimu bora.
Mtaalamu wa elimu Galgallo Sarr anasema familia nyingi haziwezi kumudu kununua vifaa vya ziada vya kujifunzia, jambo linalowaweka wanafunzi katika hali mbaya zaidi pale vitabu vya serikali vinapochelewa kufikishwa shuleni.
Sarr anaonya kuwa ukosefu wa usawa katika upatikanaji wa elimu unazidisha umaskini kwa kuwanyima watoto nafasi ya kupata umahiri unaohitajika kwa mafanikio ya baadaye, na anaitaka serikali kuhakikisha vifaa vyote vya kujifunzia vinawasilishwa shuleni kwa wakati ufaao.
GALGALLO SARR – COST