Waziri wa Maji Eric Mugaa amezitaka serikali za kaunti na kitaifa kufanya kazi pamoja ili kupunguza kupotea kwa maji kusiko kwa mapato, ambako huigharimu nchi zaidi ya Sh bilioni 11 kila mwaka. Akizungumza katika Mkutano wa Maji, Usafi wa Mazingira na Unyunyuzaji jijini Nairobi, Mugaa alisema mapato yaliyopotea yanaweza kuboresha upatikanaji wa maji safi. Ametoa wito wa hatua kali zaidi ili kuhakikisha maji yote yanayotumiwa yanatozwa ada na kupotea katika usambazaji kunapunguzwa.

ERIC MUGAA – EXCUSES