Shirika la UNESCO limezipa changamoto nchi za Afrika kutoa sehemu kubwa ya bajeti zao za elimu kwa ajili ya kuajiri walimu na kuboresha ustawi wao. Akizungumza katika Kongamano la Utafiti wa Afrika la GPE KIX la 2026 jijini Nairobi, Justine Sass wa Ofisi ya Kanda ya UNESCO ya Sekta Mbalimbali kwa Afrika Mashariki alilalamika kwamba ufadhili wa ustawi wa walimu mara nyingi huwa mwathirika wa kwanza wakati wowote serikali zinapokabiliwa na vikwazo vya kifedha. Alisisitiza kwamba sera za makusudi zinahitajika ili kuhakikisha shule zina walimu wa kutosha wanaolipwa vizuri ikiwa nchi zinataka kufikia elimu kwa wote.
JUSTINE SASS - ENOUGH