Kusikiliza kwa kijamii ni chombo muhimu katika utayari na mwitikio wa Ebola, kusaidia mamlaka za afya kuelewa wasiwasi wa umma, mapengo ya taarifa na uvumi unaosambaa kabla ya kudhoofisha juhudi za mwitikio. Afisa wa Usimamizi wa Habari wa WHO Nancy Okwengu anabaini kuwa wasiwasi wa umma wakati wa saa za mwanzo za mkurupuko mara nyingi hutokana na ukosefu wa ukweli. Okwengu anasisitiza kwamba kufuatilia mazungumzo haya huruhusu mashirika kuongoza mawasiliano ya hatari na kutoa maelezo sahihi.

NANCY OKWENGU – LISTENING