Wafanyabiashara wa Nairobi wanawataka viongozi wa kisiasa kushughulikia changamoto zinazoathiri biashara zao, ikiwemo uharibifu wa maeneo ya biashara wakati wa vipindi vya mvutano wa kisiasa. Katika mkutano na Baraza la Wazee wa Kikuyu, wafanyabiashara hao pia walielezea wasiwasi wao kuhusu madai ya unyanyasaji, rushwa na kulazimishwa kufunga biashara, huku wakitoa wito wa kufanyika kwa mazungumzo na kutafutwa kwa suluhu za kudumu ili kulinda biashara na njia zao za kujikimu.
VOX POP-BUSINESES