Jaji Mkuu Martha Koome amewaongoza watetezi wa watoto wa kike katika kutoa wito wa usaidizi mkubwa kwa wasichana kupitia elimu na ulinzi dhidi ya mila hatari za kitamaduni. Wakizungumza huko Kajiado wakati wa sherehe za kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike, watetezi hao walihimiza jamii kuachana na mila zilizopitwa na wakati zinazotishia haki na mustakabali wa wasichana. Wametoa wito wa juhudi za pamoja kutoka kwa jamii na wadau ili kuondoa mila hizo na kuhakikisha kila msichana anapata fursa ya kustawi.

VOX POP-CALL