Watetezi wa haki za watoto wa kike wameitaka jamii kuunga mkono ukuaji na maendeleo ya wasichana kwa kukataa desturi za kitamaduni zinazorudisha nyuma na zinazohatarisha mustakabali wao. Wito huo ulitolewa Kajiado wakati wa sherehe za kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike, ambapo wasichana 200 walihitimu kutoka programu ya mafunzo ya uongozi.

VOX POP-GIRL