Wakenya wamehimizwa kukumbatia utamaduni wa kupanda miti kama sehemu ya juhudi zinazoendelea za uhifadhi wa mazingira badala ya kusubiri Siku ya Mazingira ndio wapande miti. Wito huo ulitolewa wakati wa sherehe za Siku ya Mazingira jana, ambazo zilishuhudia Wakenya kutoka matabaka tofauti wakishiriki katika shughuli zinazolenga kuhifadhi mazingira na kukuza uendelevu.
VOX POP-TREES