Kamati ya Mazingira ya Bunge la Kitaifa imetoa wito wa kuingilia kati kwa haraka kwa serikali ili kushughulikia ongezeko la viwango vya maji katika Maziwa ya Baringo na Bogoria kabla ya mvua inayotarajiwa za El Niño. Kamati hiyo, ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti Charles Kamuren, iliishutumu Wizara kwa uzembe katika kutafuta suluhisho la kudumu, ikionya kwamba maelfu ya wakaazi wako katika hatari ya kuhama makaazi yao ikiwa mvua hiyo kubwa itaongezeka.

VOX POP-LAKES