Viongozi wa upinzani wameikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kile wanachokiita kushindwa kutimiza ahadi za kampeni. Wakiongozwa na Katibu Mkuu wa DCP John Methu, viongozi hao walimshtumu Ruto kwa kuwapotosha wapiga kura wakati wa uchaguzi uliopita. Akizungumza huko Kiambu, Methu alipuuza madai ya mgawanyiko ndani ya upinzani, akisisitiza kwamba wakuu wa upinzani wataungana na kuunga mkono mgombea mmoja wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
JOHN METHU-UNITE