Jamii ya gaming nchini Kenya inaendelea kukua huku kizazi kipya cha wachezaji wakibadilisha gaming kutoka kwa uraibu hadi kuwa na harakati za ushindani, huku wachezaji wachanga wakijaribu ujuzi wao, katika jukwaa la kimataifa. Wachezaji watapata nafasi ya kucheza katika Kombe la Red Bull Wings, shindano la kwanza la kimataifa la EA SPORTS FC 27. Wachezaji 8 bora kutoka Ligi ya Vyuo Vikuu, na ligi ya mtandaoni watapata nafasi katika Fainali za Kitaifa mnamo tarehe 7 Novemba katika Kituo cha Century Cinemax Sarit, huku washindi wakifuzu kwa ubingwa wa dunia huko Miami mnamo Januari 2027.

Vipindi vya anga kabvu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembeleatovuti ya radiojambo.