Rais William Ruto amemshutumu Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kwa kujihusisha na siasa zenye sumu zinazodhoofisha ukuaji na maendeleo ya kaunti. Rais alimkosoa Natembeya kwa madai ya kuzuia juhudi za maendeleo, akiahidi kwamba utawala wake utaendelea kujitolea kutoa maendeleo kwa wakaazi licha ya changamoto za kisiasa na vikwazo vingine.


WILLIAM RUTO-TOXIC