Rais wa FKF, Hussein Mohammed, anasema Kenya itaunga mkono kuchaguliwa tena kwa rais wa FIFA, Gianni Infantino wakati wa uchaguzi wa Machi mwaka ujao. Hii inakuja baada ya rais wa CAF, Patrice Motsepe, kuthibitisha kwamba mashirikisho yote 54 ya Afrika yatamuunga mkono kwa kauli moja Infantinno. Hussein anaamini kwamba Infantino imeboresha soka barani Afrika kwa ufadhili zaidi. Hussein pia anataka uwajibikaji kutoka kwa mashirikisho yote kuhusu fedha zinazotumika kuhakikisha uwazi katika miradi ya maendeleo.
Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.