Chama cha ODM kinashinikiza nafasi ya Naibu Rais katika makubaliano yake ya kisiasa yaliyopendekezwa na UDA ya Rais William Ruto kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Mwenyekiti wa kitaifa wa ODM na Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga, akizungumza huko Kakamega pia aliwasihi wapiga kura kuwachagua wagombea wa ODM katika nafasi zote za uchaguzi, kuanzia na MCA.
GLADYS WANGA – SIX PIECE