Rais William Ruto ametangaza malipo ya bonasi ya shilingi bilioni 1.2 kwa wakulima wa miwa mwezi Novemba. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wakulima, Ruto alielezea mageuzi yaliyofanywa na serikali yake ili kuboresha sekta ya sukari, ikiwemo kutokomeza magenge ya walanguzi na kuhakikisha wakulima na wafanyakazi wanalipwa kwa wakati.

WILLIAM RUTO-CANE